Unashindwa kuinstall app baada ya kudownload? (Msaada)
Kama umeshindwa kuinstall app baada ya kupakua (kudownload) fanya yafuatayo lakini kabla ya kufanya hayo unapaswa kujua kwenye simu yako kuna settings ambazo zinazuia kuingiza au kuinstall program nje ya program ya playstore.
Ifuatayo chini ni security settings inayozui
| 1 | ![]() |
Install from unknow source |
Jinsi ya kuruhusu install from unknown sources.
1. Nenda kwenye Settings.
2. Ukiwa kwenye Settings nenda kwenye Security
3. Ukiwa kwenye security nenda kwenye unknown sources kisha ruhusu (Allow).
4. Baada ya kuruhusu install from unknown sources, nenda kwenye program ya files kisha bonyeza app uliyopakua na endelea na kuinstall Bofya link hapo chini kupakua android app

